DALILI TANO ATAKAZOKUONESHA MWANAMKE KAMA ANATAKA KUFANYA MAPENZI
1. Kama anazungumzia kuhusu kujamiiana uwapo naye
Kama anaongea kwa
kujiamini na ana uhuru wa kutaja mambo mbalimbali yanayohusu kujamiiana
kama mkao anaofurahia zaidi wakati wa kujamiiana, vifaa vya
vinavyotumika kujiridhisha kingono pamoja na mambo mengine ya
kujiridhisha wakati wa kujamiiana, tambua kwamba anataka uendeleze mada
hiyo mpaka mjikute mkijamiiana.
Akiamua kuizungumzia
kwenye maongezi yenu, yawezekana akawa anakupa ishara kwamba yupo tayari
kwa tendo hilo – kilichobaki ni kuomba.
2. Kama ghafla anavaa nguo zinazoacha maungo yake wazi
Njia rahisi ya
kumshawishi mwanaume kujamiiana ni pale mwanamke anapovaa nguo za
kichokozi, zinazoacha baadhi ya maumbile yake wazi. Kama umezoea kumuona
akiwa anavaa nguo rasmi na ghafla akavaa nguo zinazoacha baadhi ya
maumbile yake wazi mkiwa kwenye mtoko au miadi yoyote, basi jiongeze –
sio lazima akwambie kwakuwa wanawake wengi hawawezi kumwambia mwanaume
kuwa anataka wafanye mapenzi.
3. Kama anakualika nyumbani kwake
Baadhi ya wanawake
wanapojisikia kufanya mapenzi wanaweza kukualika nyumbani kwake ili
mfanye anachokitaka bila kulazimika kukwambia lolote.
Atatandika kitanda,
kukupikia chakula unachokipenda au kukupa kinywaji chenye pombe ili
ulewe kidogo na kisha muendelee kutokea hapo.
4. Kama anavutiwa na mambo mengi kutoka kwako
Kama anaonesha kuvutiwa
zaidi kuliko ulivyozoea siku zote, unatakiwa kujua kwamba yupo tayari
kufanya mapenzi na wewe kwa siku hiyo.
Yawezekana akionesha
kuvutiwa na wewe kwa kukulegezea sauti au anavyotembea mkiwa mmebaki
wawili. Joto la mwili wake linapoongezeka au macho yanapomlegea zaidi.
Hii haimaanishi kwamba unatakiwa kumchunguza, ila jaribu kuzingatia kwa
makini mabadiliko yanayotokea kuanzia mazungumzo mpaka mwili.
5. Kama anakugusa sehemu zinazokusisimua
Mwanamke anaweza kuamua
kukuonesha kuwa yupo tayari kufanya mapenzi na wewe kwa kushika sehemu
za mwili wako ambazo zinakusisimua kama masikio, shingo, mapaja, kifua
au miguuni.

Merkur 15c Safety Razor - Barber Pole - Deccasino
ReplyDeleteMerkur 15C Safety Razor 출장안마 - Merkur apr casino - 15C for Barber ventureberg.com/ Pole is the perfect introduction to the deccasino Merkur Safety https://deccasino.com/review/merit-casino/ Razor.